1.NURSING AND MIDWIFERY:
i. Awe na ufaulu kuanzia D nne na kuendelea ikiwemo fizikia, kemia na biology
2.CLINICAL MEDICINE:
ii. Awe na ufaulu kuanzia D nne na kuendelea ikiwemo fizikia, kemia na biology
3.SOCIAL WORK:
iii. Awe na ufaulu kuanzia D nne na kuendelea kwa somo lolote isipokuwa somo la dini